Sakata la Kwasi liko hivi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Apr 2021
Sakata la Kwasi liko hivi

Mgogoro wa mchezaji Asante Kwasi na klabu ya Simba haukuanza leo. Baada ya mkataba wake kuvunjwa na Simba miaka miwili iliyopita, Kwasi alipeleka malalamiko FIFA akidai 'amepunjwa' stahiki zake

Simba ilishinda kesi ya awali lakini Kwasi hakukubaliana na hukumu iliyotolewa hivyo akakata rufaa

Taarifa iliyotoka jana ni kuwa Kwasi ameshinda rufaa hiyo hivyo klabu ya Simba imeamuliwa kumlipa fedha anazodai (hazijawekwa wazi) ndani ya wiki mbili

Simba haijafungiwa na FIFA kama wengine wanavyopotosha, hatua hiyo inaweza kuchukuliwa kama Kwasi hatalipwa ndani ya muda uliotolewa na FIFA

Wengi wasichofahamu sio kwamba Simba ilishindwa kumlipa Kwasi, bali kulikuwa na mgogoro kuhusu mkataba aliokuwa amesaini na Simba

Ni sababu hiyo iliyopelekea kesi kwenda kuamuliwa FIFA

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’