Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mlinda lango wa Simba Ally Salim
Salim aliyepandishwa msimu uliopita kutoka Simba B, ameendelea kuimarika akiwasaidia Aishi Manula na Beno Kakolanya katika majukumu ya kikosi cha kwanza
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY ALLY SALIM
ADVERTISE HERE