Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes hataki masihara katika mbio za ubingwa wa ligi kwani amepania kumaliza kazi mapema ili ajikite kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa
Simba inatarajiwa kukwea pipa kuelekea mkoani Shinyanga kupitia Mwanza kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc
Mchezo huo utapigwa Jumapili, April 18, 2021 katika uwanja wa CCM Kambarage
Gomes anatarajiwa kuondoka na jeshi lake kamili ambalo litakuwa kanda ya ziwa kwa takribani wiki moja
Watacheza michezo mitatu dhidi ya Mwadui Fc, Kagera Sugar na Gwambina Fc
ADVERTISE HERE