Msimamo baada ya mzunguuko wa 19 kukamilika

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Mar 2018
Msimamo baada ya mzunguuko wa 19 kukamilika
Simba imemendelea kuwa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Vodacom baada ya mzunguuko wa 19 kukamilika.

Licha ya ushindi wake wa mabao 2-1 dhidi ya Ndanda FC leo, Yanga imesalia nafasi ya pili ikiwa na alama 40, alama tano nyuma ya Simba inayoongoza ligi kwa wiki kadhaa sasa.



Licha ya kuongoza kwa tofauti ya alama tano, Simba inaendelea kuwa timu pekee ambayo haijapoteza mchezo msimu huu.

Bado michezo 11, kazi bado inaendelea hakuna kulala mpaka kieleweke!

Keshokutwa Ijumaa Simba itashuka kwenye uwanja wa Taifa kuivaa Stand United katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 20.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
43m ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
15h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
18h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’