Mshambuliaji wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi leo alifika katika kambi ya klabu ya Simba Misri kuelekea mchezo dhidi ya Al Ahly ambao utapigwa baadae leo
Okwi aliyekuwemo katika kikosi cha Simba kilichotinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa mwaka juzi, alipata chakula cha mchana na nyota wa Simba akiwahamasisha kuelekea mchezo wao dhidi ya Al Ahly
Okwi anacheza Misri katika klabu ya Al Ittihad



ADVERTISE HERE