Mabingwa wa nchi Simba wamewasili salama nchini Misri kuelekea mchezo wao wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly keshokutwa Ijumaa
Mchezo huo wa kukamilisha ratiba, utapigwa kuanzia saa nne usiku kwa saa za Tanzania

ADVERTISE HERE