Chama mchezaji bora wa wiki CAF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Apr 2021
Chama mchezaji bora wa wiki CAF

Kiungo wa Simba Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Chama ametwaa tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa soka Afrika

Amewashinda Amir Sayoud (CR Belouizdad), Ricardo Goss (Mamelodi) na Ferjani Sassi (Zamalek)

Chama alikuwa shujaa katika mchezo dhidi ya AS Vita akifunga mabao mawili na kutoa pasi moja ya bao

Yeye pamoja na winga Luis Miquissone waliingia katika kikosi bora cha wiki CAF

Tuzo hizi zimekuwa kawaida kwa wachezaji wa Simba katika michuano hiyo msimu huu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’