Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael alitua Shinyanga jana mchana na jioni akasimamia mazoezi ya kikosi chake kuelekea mchezo dhidi ya Mwadui Fc ambao utapigwa leo katika uwanja wa CCM Kambarage
Kabla na baada ya mazoezi, Eymael alipata nafasi ya kuzungumza na wachezaji ambapo jambo kubwa alilosisitiza ni kuona wanaondoka na alama zote tatu mkoani Shinyanga
Eymael amerejea akiwa na mzuka, hakika uwepo wake umeinua ari ya wachezaji, Mwadui Fc watakuwa na kazi jioni ya leo
ADVERTISE HERE