Simba kuifuata Al Ahly leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Apr 2021
Simba kuifuata Al Ahly leo

Mabingwa wa nchi Simba wataondoka leo Jumanne kuelekea nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Ijumaa, April 09, 2021

Kulingana na taarifa iliyotolewa na Simba, wababe hao wa soka nchini wataondoka saa 9:25 alasiri kwenda Misri kwa kupitia Dubai

Timu itaondoka Dar mpaka Dubai, watapumzika hapo na Jumatano asubuhi wataondoka Dubai kwenda Cairo na kufika saa 4:05 asubuhi.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
34m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’