Simba kuivaa Stand United Ijumaa, March 02

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Feb 2018
Simba kuivaa Stand United Ijumaa, March 02
Baada ya ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Mbao FC jana, kikosi cha Simba kinatarajiwa kushuka tena kwenye uwanja wa Taifa kuivaa Stand United, Ijumaa March 02, 2018..

Huo ni mchezo wa mzunguuko wa 20, ligi kuu ya Vodacom.

Mchezo dhidi ya Stand United imerudishwa nyuma ili kuipa nafasi klabu ya Simba kujiandaa na mchezo wake wa kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry March 09.

Wakati huo huo Daktari wa kikosi cha Simba Yassin Gembe amesema hali ya mshambuliaji Emanuel Okwi inaendelea vizuri.

Okwi aliumia kwenye mchezo wa jana dhidi ya Mbao FC na tayari amepatiwa matibabu kulingana na Dk Gembe.

Dk Gembe amewahakikishia Wana Msimbazi kuwa Okwi atakuwa tayari kuivaa Stand United Ijumaa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’