Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina anatarajiwa kurejea leo akitokea kwao nchini Zambia alikoenda kuhudhuria msiba wa mpwa wake.
Kocha huyo wa zamani wa timu ya shirika la Umeme la Zambia, ZESCO anarejea kuendelea kukinoa kikosi chake cha Yanga siku chache baada ya kuibuliwa tetesi kuwa amerudi timu yake hiyo ya zamani.
Yanga inaendelea na mazoezi jijini Dar es salaam sasa wakifanya mazoezi ya Gym chini ya kocha msaidizi Shedrack Nsajigwa.

ADVERTISE HERE