Ligi Kuu ya Vodacom itarejea wiki ijayo baada ya kumaliza kipindi cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dk John Magufuli kilichotokea Machi 17
Viungo washambuliaji wa Simba Clatous Chama na Luis Miquissone wako kileleni kwa kutengeneza mabao kama ilivyo kwa washambuliaji Meddie Kagere na John Bocco wanaoongoza kwa kutikisa nyavu
Ni pasi za mabao tisa kwa akina Chama na mabao tisa kwa akina Kagere

ADVERTISE HERE