Ni fahari kubwa kwa Mwanamsimbazi 'kutokelezea' ukiwa umetinga uzi wa mabingwa wa nchi Simba
Ili kuhakikisha Wanachama na Mashabiki wanajipatia jezi orijino, Simba imeongeza wigo wa upatikanaji wa jezi zake

Jipatie jezi orijino kupitia vituo vilivyoainishwa na uongozi, ni muhimu kuhakikisha jezi yako ni halisi
Kila jezi orijino inaambatana na kishikio cha funguo kutoka kwa klabu ya Simba
ADVERTISE HERE