Mahadhi kurejeshwa dimbani kwa tahadhari

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jun 2020
Mahadhi kurejeshwa dimbani kwa tahadhari

Kocha Msaidizi wa Yanga Charles Mkwasa ametaja sababu ya kutomtumia winga Juma Mahadhi juzi kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Transit Camp ambao ulimalizika kwa Yanga kushinda mabao 3-1

Katika mchezo huo, Mkwasa alimpa nafasi beki Paulo Godfrey 'Boxer' ambaye alicheza kwa takribani dakika sabini

Boxer nae amerejea kikosini baada ya kuwa majeruhi tangu mwezi Septemba mwaka jana

Mkwasa amesema Mahadhi anahitaji kurejeshwa dimbani kwa tahadhari kubwa kutokana na majeraha yaliyouweka nje kwa karibu miaka miwili

"Kwa wale waliofuatilia mchezo wa juzi (dhidi ya Transit Camp) watakubaliana nami, ulikuwa ni mchezo wa nguvu sana. Isingekuwa sahihi kumtumia Mahadhi kwani bado anatakiwa kupata kashikashi zaidi mazoezini kabla ya kucheza mechi. Atapewa nafasi taratibu dakika tano.., kumi.. ili kuhakikisha anaimarika kwa awamu na hatoneshi majeraha," alisema Mkwasa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’