Kagere, Miquissone kukamilisha majukumu ya Afcon leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Mar 2021
Kagere, Miquissone kukamilisha majukumu ya Afcon leo

Washambuliaji wa Simba Meddie Kagere na Luis Miquissone leo wanakamilisha majukumu ya timu za Taifa pale watapoziongoza timu zao kucheza mechi za mwisho kukamilisha ratiba ya michuano hiyo

Msumbiji itakuwa nyumbani kuchuana na Cape Verde wakati Rwanda itakuwa ugenini dhidi ya Cameroon

Wakati Cameroon ikiwa tayari imejihakikishia nafasi, Rwanda, Msumbiji na Cape Verde zinawania nafasi moja iliyobaki

Kama Rwanda wataifunga Cameroon wanaweza kufuzu wakati ni hivyo hivyo kwa Msumbiji dhidi ya Cape Verde inayohitaji angalau alama moja tu

Baada ya michezo ya leo, nyota hao wanatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam haraka kuwahi mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita ambao utapigwa April 03 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’