Simba itamuenzi JPM kwa kushinda ubingwa wa Afrika

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Mar 2021
Simba itamuenzi JPM kwa kushinda ubingwa wa Afrika

Leo ni siku nyingine ya huzuni kwa Watanzania ambao wameshuhudia kuzikwa kwa aliyekuwa Rais wao wa awamu ya tano, hayati Dk John Magufuli aliyepumzishwa katika nyumba yake ya milele kwenye makaburi ya familia, Chato

Uongozi wa Simba umeahidi kumuenzi hayati Magufuli kwa vitendo wakiahidi kutimiza agizo aliloacha kwa klabu hiyo mwaka juzi

Katika hafla ya kukabidhi ubingwa wa VPL msimu wa 2018/19, hayati Dk Magufuli aliitaka klabu ya Simba kujiimarisha na kuhakikisha inaleta ubingwa wa Afrika Tanzania

"Lala salama Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Agizo ulilotuachia Simba SC kuwa klabu ya kwanza nchini kuleta ubingwa wa Afrika tutalitekeleza kwa kishindo," ujumbe wa klabu ya Simba  baada ya maziko ya hayati Magufuli

April 03 Simba itacheza na AS Vita katika mchezo wa ligi ya mabingwa ambao matokeo ya ushindi au sare yataipeleka Simba robo fainali ya michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
4h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
22h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1d ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’