Gomes awavutia kasi AS Vita

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Mar 2021
Gomes awavutia kasi AS Vita

Pamoja na kuwakosa nyota wake 18 wanaokabiliwa na majukumu ya timu za Taifa, kikosi cha Simba kinaendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita ambao utapigwa April 02 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Mkufunzi wa Simba Didier Gomes amesema wanatarajia mchezo wenye ushindani mkali kutoka kwa AS Vita kwani timu zote kuhitaji matokeo kuweza kusonga mbele

Simba inahitaji angalau alama moja tu iweze kutinga robo fainali wakati AS Vita wanahitaji ushindi kuweka hai matumaini ya kufuzu robo fainali

Katika msimamo Simba imejikusanyia alama 10 ikiwa inaongoza kundi A wakati AS Vita wako nafasi ya tatu wakiwa na alama nne

Gomes amesema ni muhimu kwa wachezaji wake kujiandaa kikamilifu kwani mchezo huo hautakuwa mwepesi

"Nimewaambia wachezaji kwamba haitakuwa kazi nyepesi kwetu na kila timu inahitaji ushindi hivyo ni muhimu kujipanga vizuri. Ikiwa tutashindwa kupata matokeo itakuwa ngumu kwetu kufikia malengo ya hatua ya robo fainali hivyo tupo tayari kufanya vizuri," amesema Gomes

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’