Kikosi cha Simba kimefanya mazoezi Jumapili jioni tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 19 dhidi ya Mbao FC.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye uwanja wa Taifa kesho Jumatatu, February 26 2018.
Simba imefanya mazoezi ya mwisho kwenye viwanja vya Boko jijini Dar es salaam.
Simba inayoongoza ligi ikiwa na alama 42, inasaka matokeo ya ushindi kwenye mchezo huo ili ijikite kileleni kwa tofauti ya alama nane dhidi ya Yanga ambayo inacheza February 28.

ADVERTISE HERE