Panga lanukia kwa hawa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Nov 2017
Panga lanukia kwa hawa
Katibu Mkuu wa Yanga Boniface Mkwassa amesema katika kuhakikisha Yanga inatetea ubingwa wake kwa msimu wa nne mfululizo, inakusudia kuwachukulia hatua wachezaji wasioendana na malengo hayo.

Wachezaji hao ni wale ambao wana tabia hizi;


  • Wachezaji wanaotanguliza fedha mbele badala ya kupambana kwa ajili ya kuisaidia timu.

  • Wachezaji wasumbufu wasioheshimu kanuni na taratibu za timu

  • Wachezaji majeruhi wa muda mrefu


Yanga inakusudia kutumia dirisha dogo la usajili ipasavyo kuimarisha kikosi chake ambacho kitakabiliwa na michuano ya klabu bingwa barani Afrika.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
7h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
11h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
12h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
12h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’