Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amekutana na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Giann Infatinno jijini Rabbat, Morroco ambapo Uchaguzi wa Rais wa Shirikisho la Soka Africa (CAF) unafanyika
Barbara amehudhuria kikao cha Maandalizi ya kuanza kwa mashindano ya African Super League ambayo yatashirikisha vilabu 20
Klabu ya Simba inaweza kuwa miongoni mwa timu zitakazoshiriki michuano hiyo hivi karibuni
Kikao hicho pia kilimshirikisha nyota wa zamani wa Cameroon, Samwel Etoo

ADVERTISE HERE