Happy Birthday Ndemla

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Mar 2021
Happy Birthday Ndemla

Kiungo Said Khamis Ndemla, leo ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa

Ukizungumzia wachezaji waandamizi katika kikosi cha Simba, utamtaja Jonas Mkude halafu atafuata Ndemla

Ni mchezaji aliyedhihirisha kuwa na mapenzi makubwa kwa Simba, kwani zipo nyakati wasiomtakia mema walijaribu kumshawishi aondoke kwa kigezo cha kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza

Simba ina kikosi kilichosheheni wachezaji mahiri, sio rahisi kucheza mechi zote, Ndemla ameridhika na nafasi anayoipata

Tunamtakia kila la kheri kwenye siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa

Happy Birthday Ndemla

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’