Mabingwa wa nchi Simba wameondoka jijini Mwanza kurejea Dar kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Jumanne Februari 23 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Msafara wa Simba ulilala Mwanza wakitokea Musoma ambako jana walifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Biashara United
Bao pekee la Simba likiwekwa kambani na Bernard Morrison
Wapinzani wao nao Al Ahly wanatarajiwa kuwasili nchini leo





ADVERTISE HERE