Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amefariki Dunia
Taarifa iliyotolewa na Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi imeeleza kuwa Maalim Seif amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu
Rais Mwinyi ametangaza siku saba za maombolezo
Innalillah Wainaillaih Rajiun
ADVERTISE HERE