Mabingwa wamerejea salama Dar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Feb 2021
Mabingwa wamerejea salama Dar

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimerejea salama jijini Dar es salaam wakitokea DR Congo ambako walipata ushindi wao wa kwanza kwenye michuano ya ligi ya mabingwa hatua ya makundi

Ulikuwa ushindi wa kihistoria dhidi ya AS Vita, wakiondoka na alama tatu muhimu zilizowaweka kileleni mwa kundi A baada ya ushindi wa bao 1-0

Baada ya kutua, Simba imeelekea moja kwa moja kambini kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United

Mchezo huo utapigwa Alhamisi, Februari 18 mkoani Mara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’