TFF yamfuta kazi Ndayiragije

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Feb 2021
TFF yamfuta kazi Ndayiragije

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Kocha wa timu ya Taifa 'Taifa Stars', Etienne Ndayiragije

Kocha wa zamani wa Stars ambaye alisimamia timu za vijana kwa mafanikio makubwa Kim Paulsen ndiye anayetajwa kuwa mbioni kukabidhiwa mikoba ya Ndayiragije

Mafanikio makubwa aliyopata Ndayiragije akiwa na Stars ni kushiriki fainali za michuano ya CHAN zilizamalizika hivi karibuni nchini Cameroon

Aidha Ndayiragije ameiongoza Tanzania kwenye mechi tatu za kusaka tiketi ya kushiriki fainali za Afcon zijazo akishinda mchezo mmoja, sare moja na kufungwa mchezo mmoja

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’