Tuko tayari kwa mapambano - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Feb 2021
Tuko tayari kwa mapambano - Manara

Mchampioni wa soka Tanzania Simba waliwasili salama jijini Kinshasa jana kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita ambao utapigwa kesho Ijumaa Februari 12 nchini Congo (DR)

Baada ya kutua, jioni walifanya mazoezi Stade De Martyrs, uwanja ambao utatumika katika mchezo huo

Akizungumzia maandalizi ya kikosi, Msemaji wa Simba Haji Manara amesema vijana wote wako salama, wakiwa na ari kubwa kuelekea mchezo huo

"Tunashukuru tumewasili salama na usiku huu (jana) tumepata nafasi ya kufanya mazoezi katika uwanja ambao mchezo utachezwa. Ari ya wachezaji iko juu, tumekuja hapa kusaka ushindi wetu wa kwanza kwenye hatua ya makundi, tunaomba dua zenu huko nyumbani ili tuweze kufanya vizuri"

"Uwanja utakaotumika (Stade De Martyrs) ni wa nyasi bandia, hauko katika ubora sana ukilinganisha na uwanja wetu wa Benjamin Mkapa lakini hiyo haiwezi kuwa sababu ya kutofanya vizuri kwani tumejiandaa kupambana katika mazingira yoyote," alisema Manara

Simba itakamilisha maandalizi yake ya mwisho leo katika uwanja wa Mashujaa hapo jijini Kinshasa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
59m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’