Niyonzima yuko India

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Feb 2018
Niyonzima yuko India
Kiungo fundi wa Simba, Haruna Niyonzima hajaonekana kwenye kikosi cha Simba kwa zaidi ya miezi mitatu akikabiliwa na majeraha ya goti.

Simba tayari imemsafirisha kiungo huyo Mnyarwanda kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu.

Mkuu wa Idara ya Habari klabu ya Simba Haji Manara amesema baada ya matibabu hayo Niyonzima anatarajiwa kurejea dimbani mapema.

Msimu huu Simba imekuwa na utaratibu wa kuwapeleka India wachezaji wake majeruhi wa mda mrefu kwa matibabu zaidi na ya uhakika.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’