Msafara wa kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba umewasili salama nchini Ethiopia wakiwa njiani kuelekea DR Congo ambako wanakabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita siku ya Ijumaa
Wachezaji, benchi la ufundi na viongozi watalala katika hoteli ya nyota tano hapo Ethiopia ambayo timu imeandaliwa na kesho asubuhi wataendelea na safari kwenda Kinshasa, DRC

ADVERTISE HERE