Gomes ataka magoli DR Congo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Feb 2021
Gomes ataka magoli DR Congo

Mabingwa wa nchi Simba wameondoka jioni ya leo Jumanne kuelekea DR Congo ambako wanakabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita ambao utapigwa Ijumaa ya wiki hii

Akizungumza muda mfupi kabla ya kuondoka nchini, kocha mkuu wa Simba Didier Gomes amesema wamefanya maandalizi ya kutosha kuelekea mchezo huo wa kwanza kundi A

Aidha, Gomes amesema amewaelekeza wachezaji wake wahakikisha wanatumia kila nafasi watakazopata katika mchezo huo

"Tunakwenda DR Congo tukiwa na malengo. Nimewaambia wachezaji wangu hatupaswi kufanya makosa, tutumie nafasi tunazo-tengenezai"

"Najua tutapata nafasi katika mchezo huo, ni muhimu sana kuzitumia"

"Lakini pia hatupaswi kufanya makosa katika ulinzi hasa kuwaachia wapinzani nafasi kubwa. Tulifanya makosa hayo katika mchezo dhidi ya Azam Fc"

"Nimewaelekeza wachezaji wangu kuwa hatupaswi kuacha nafasi kubwa kati yetu. Tunakwenda DR Congo tukiwa na kikosi kamili hatutaki kukumbana na changamoto hasa wakati huu wa janga la corona," alisema Gomes

Simba imeondoka nchini ikiwa na kikosi cha wachezaji 27

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
5h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
11h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
14h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’