Kagere anaandika rekodi yake VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Feb 2021
Kagere anaandika rekodi yake VPL

Jana baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc, Meddie Kagere 'MK-14' alirejea kileleni miongoni mwa vinara wa upachikaji mabao ligi kuu ya Vodacom

Bao lake alilofunga kwenye mchezo huo uliomalizika kwa matokeo ya sare ya mabao 2-2, limemfanya afikishe mabao tisa, sasa akimzidi nyota mwingine wa Simba nahodha John Bocco aliyefunga mabao nane

Akiwa mfungaji bora kwa misimu miwili mfululizo, Kagere anafukuzia rekodi ya kuondoka na kiatu cha dhahabu kwa msimu wa tatu

Kagere amerejea katika ubora wake, unaweza kuwa msimu mwingine wa mafanikio kwake

Wanasema siku njema huonekana asubuhi, Mnyarwanda huyo ameonyesha kuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha kocha Didier Gomes

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’