Mabingwa kurejea Dar leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Feb 2021
Mabingwa kurejea Dar leo

Simba ilimaliza vyema kazi iliyowapeleka mkoani Dodoma baada ya kuichapa Dodoma Jiji mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu na kufanikiwa kuondoka na alama zote tatu

Mtendaji Mkuu wa mabingwa hao wa nchi Barbara Gonzalez amesema timu inarejea jijini Dar es salaam leo Ijumaa kuendelea na maandalizi ya mchezo unaofuata dhidi ya Azam Fc

Mtanange huo utapigwa keshokutwa Jumapili katika uwanja wa Benjamin Mkapa muda wa mchezo huo ukipangwa kuwa saa moja usiku

Simba imedhamiria kushinda michezo yote ya viporo ili kurudi katika nafasi yao ya kwanza ambayo wameimiliki kwa misimu mitatu mfululizo...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’