Furaha ya kurejea kikosini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Feb 2021
Furaha ya kurejea kikosini

Ilikuwa siku nzuri kwa mashabiki wa Simba leo baada ya kumshuhudia kiungo Jonas Mkude 'Nungunungu' akirejea kikosini baada ya kukosekana kwa takribani mwezi mzima akiwa amesimamishwa na uongozi kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu

Mkude amerejea kambini leo na kuanza mazoezi na wachezaji wengine wanaojiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa mkoani Dodoma keshokutwa Alhamisi

Pamoja na kuwa MKude huenda asiwe sehemu ya kikosi kitakachosafiri mkoani Dodoma, lakini anaweza kuwa tayari kwa mchezo dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumapili ijayo

Lakini bila shaka Februari 12 atakuwa tayari 'kukiwasha' kule DR Congo kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’