Gomes kubadili kikosi mechi ya TP Mazembe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Jan 2021
Gomes kubadili kikosi mechi ya TP Mazembe

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amesema kikosi chake kitakuwa na mabadiliko katika mchezo wa Simba Super Cup dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa kesho Jumapili, uwanja wa Benjamin Mkapa

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari mapema leo, Gomes amesema anahitaji kuwaona wachezaji wake wote hivyo mabadiliko hayo yatalengo kusudio hilo

"Kutakuwa na mabadiliko ya kikosi kwenye mchezo wa kesho sababu nataka kuwaona wachezaji wengine," amesema Gomes

Naye Meneja wa Simba Abbas Ally amesema wachezaji wote wako tayari kwa mchezo huo ukiondoa nyota waliokuwa na majukumu ya timu ya Taifa kule Cameroon

"Wachezaji ambao watakosekana kwenye mchezo wa kesho ni wale ambao walikuwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kilichoshiriki CHAN, lakini tayari wameingia kambini lakini sababu hawajashiriki mazoezi na wenzao watakosekana."

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa atakuwa mgeni rasmi katika mchezo huo ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye dimba la Mkapa kuanzia saa 10:00 jioni

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’