Simba Super Cup : TP Mazembe vs Al Hilal

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jan 2021
Simba Super Cup : TP Mazembe vs Al Hilal

Michuano ya Simba Super Cup inaendelea leo kwa mchezo kati ya TP Mazembe dhidi ya Al Hilal

Al Hilal leo wanakamilisha mechi yao ya mwisho wakihitaji kushinda mbele ya mabingwa hao wa DR Congo

Kwa Mazembe huu ni mchezo wao wa kwanza, wakitarajiwa kukamilisha mchezo wa pili kwa kuumana na wenyeji wa michuano hiyo Simba Sc Jumapili

Tiketi za mchezo wa leo na mchezo wa Jumapili zinauzwa kwa bei punguzo katika vituo vilivyoainishwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’