Wachezaji wa TP Mazembe jana walikuwepo dimba la Benjamin Mkapa wakati mabingwa wa nchi Simba wakiwapa adhabu kali Al Hilal katika mchezo wa kwanza wa Simba Super Cup uliomalizika kwa Simba kuondoka na ushindi wa mabao 4-1
TP Mazembe walitua jana mchana tayari kwa mchezo wao ambao utapigwa kesho Ijumaa, januari 29 dhidi ya Al Hilal
Mabingwa hao wa zamani wa ligi ya mabingwa, watachuana na Simba kwenye mchezo wa kuhitimisha michuano hiyo ambao utapigwa Jumapili, Januari 31
Mshambuliaji Mtanzania Thomas Ulimwengu ni miongoni mwa wachezaji waliowasili jana na kikosi cha TP Mazembe

ADVERTISE HERE