Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji Hassan Dilunga
Moja ya wachezaji wenye umuhimu katika kikosi cha Simba akiwa na mabingwa hao wa nchi kwa misimu mitatu sasa
Wengi walitamani kumuona Dilunga anajumuishwa katika kikosi cha Stars kinachoshiriki michuano ya CHAN huko Cameroon jana wakifungwa mabao 2-0 na Cameroon
Tumtakie kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake
Happy Birthday Dilunga...!
ADVERTISE HERE