Klabu ya Simba imetambulisha usajili wa kiungo mshambuliaji Perfect Chikwende kutoka klabu ya Fc Platinum
Chikwende amefunga usajili wa Simba dirisha dogo lililofungwa jana saa 5:59 usiku
Klabu ya Simba ina malengo ya kufanya vizuri katika michuano mikubwa ya ligi ya mabingwa inayowakabili
Chikwende ni aina ya wachezaji ambao wanaweza kuisaidia Simba kutimiza malengo
Kule Luis Miquissone, huku Perfect Chikwende na pale kati yuko Clatous Chama....! Kazi wanayo......!
ADVERTISE HERE