Tanzania kuanza na Zambia CHAN

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jan 2021
Tanzania kuanza na Zambia CHAN

Timu ya Taifa ya Tanzania imeondoka Alfajiri ya leo kuelekea Cameroon kushiriki michuano ya CHAN inayohusisha wachezaji wa ndani

Baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya DR Congo juzi katika mchezo wa kirafiki, kocha mkuu wa Stars Etienne Ndayiragije atakuwa na takribani siku nne za kukiweka sawa kikosi chake kabla ya mchezo wa kwanza katika michuano hiyo dhidi ya Zambia ambao utapigwa Jumanne, Januari 19 2021

Mchezo utakaofuata ni dhidi ya Namibia na utapigwa Januari 23 kabla ya kumaliza mchezo wa mwisho kwenye hatua ya makundi dhidi ya Guinea Januari 27

Hii ni mara ya pili kwa Tanzania kushiriki fainali za michuano hiyo wakifanya hivyo kwa mara ya kwanza mwaka 2009

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’