Miraji anawasubiri hao kwasu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Jan 2021
Miraji anawasubiri hao kwasu

Mshambuliaji wa Simba Miraji Athumani anaongoza mbio za ufungaji bora kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi akiwa ameweka kambani mabao manne

Leo anatarajiwa kuwa silaha muhimu ya Simba kwenye mchezo dhidi ya Yanga utakaopigwa kuanzia saa mbili na robo usiku

Simba imefunga zadi ya mabao mawili kwenye kila mchezo waliocheza katika michuano hiyo, leo wameahidi mwendo ni huohuo

Aidha kukosekana kwa baadhi ya wachezaji muhimu wa kikosi cha kwanza, ni nafasi kwa nyota wengine kung'ara na kujitengenezea mazingira ya kuaminiwa na kocha Selemani Matola

Simba itawakosa wachezaji sita walioitwa timu ya Taifa, ambao ni Aishi Manula, Ibrahim Ame, Erasto Nyoni, John Bocco, Said Khamis Ndemla na Shomari Kapombe

Wachezaji Paschal Wawa na Luis Miquissone ni majeruhi huku Wazambia Clatous Chama na Rally Bwalya nao wakitarajiwa kukosekana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’