Sven awaaga mashabiki Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jan 2021
Sven awaaga mashabiki Simba

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck amewaachia ujumbe wa shukrani Wanamsimbazi baada ya kuacha majukumu yake kutokana na matatizo ya kifamilia

Kupitia ujumbe alioweka kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Sven ameeleza kufurahia kipindi chote alichofanya kazi Simba

"Nimeachana kwa amani na Simba ili nipate nafasi ya kuwa karibu zaidi na familia yangu, na kwa maendeleo yangu binafsi. Nafanya hivyo kwa moyo mzito kwa sababu nimekuwa sehemu ya Simba na Simba imekuwa sehemu yangu"

"Nawashukuru wachezaji wote kwa mchango wao katika mafanikio yetu na mashabiki kwa kumbukumbu zote nzuri"

"Ninamshukuru sana Mo na Mkurugenzi Mtendaji Barbara kwa weledi wao na kwa kunisaidia kufanya kazi yangu vyema."

"Wote wawili walijaribu kunishawishi nibaki hadi sekunde ya mwisho. Siku zote nitaitakia Simba mafanikio makubwa," aliandika Sven

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’