Simba yapangwa kundi A Ligi ya Mabingwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jan 2021
Simba yapangwa kundi A Ligi ya Mabingwa

Droo ya hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika nchini Misri klabu ya Simba ikipangwa kundi A sambamba na mabingwa watetezi Al Ahly

Vigogo wengine waliopangwa kundi A ni AS Vita na Al Marreikh ya Sudan

Simba, Al Ahly na AS Vita zilikuwa kundi moja katika michuano ya ligi ya mabingwa mwaka juzi na vilabu hivyo vitatifuana tena kwenye michuano ya mwaka huu

Kundi la kibabe lakini hakuna shaka, Mnyama lazima atoboe. Aliweza mwaka juzi kwa nini ashindwe sasa?

Nayo klabu ya Namungo Fc imepangwa kuchuana na Primeiro De Agosto Mabingwa wa Angola katika mchezo wa hatua ya mtoano wa Kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo wa kwanza utapigwa Februari 12/13 nchini Angola

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’