GSM kumrejesha Makambo kibabe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Mar 2020
GSM kumrejesha Makambo kibabe

Suala la mshambuliaji Heritier Makambo kurejea Yanga sio tetesi tena kwani inaelezwa mchakato wa kumrejesha nchini umekamilika kwa asilimia 90

Wadhamini wa Yanga kampuni ya GSM wako tayari kununua mkataba wake wa miaka miwili uliyobaki Horoya AC

Makambo kwa sasa yuo mapumziko kwao DR Congo baada ya ligi huko Guinea kusimama kama ilivyo hapa nchini kutokana na changamoto ya virusi vya Corona

"Mazungumzo na Makambo yamefanyika, makubaliano binafsi tayari yamefikiwa"

"Kuhusu dau la usajili, GSM wako tayari kutoa fedha kununua mkataba wake. GSM wamejipanga, usajili wa safari hii sio wa majaribio," kilisema chanzo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’