Kesho Ijumaa, Januari 08 2021 droo ya hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika itafanyika katika jiji la Cairo nchini Misri
Mechi za hatua ya mtoano kusaka timu 16 zitakazoshiriki hatua hiyo zilikamilika jana natimu zote kupatikana
Simba itakuwa sehemu ya timu hizo zitakazopangwa katika makundi manne yenye timu nne
Miamba waliotinga makundi ni hawa;

ADVERTISE HERE