Daktari wa Simba Yassin Gembe ametoa ufafanuzi kuhusu majeraha ambayo amepata nahodha John Bocco kwenye mchezo dhidi ya Mwadui FC.
Bocco aliyefunga bao la kwanza katika mchezo huo uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2, aliumia kwenye dakika ya 28 na nafasi yake kuchukuliwa na Laudirt Mavugo
“Ameumia kifundo cha mguu wa kushoto anahitaji kufanyiwa uchunguzi zaidi ili kujua atakaa nje ya uwanja kwa muda gani lakini kwa uchunguzi wa awali tuliomfanyia inaonekana ni jeraha la kawaida na hatokuwa nje kwa muda mrefuâ€

ADVERTISE HERE