Bocco ameumia kifundo cha mguu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
17 Feb 2018
Bocco ameumia kifundo cha mguu
Daktari wa Simba Yassin Gembe ametoa ufafanuzi kuhusu majeraha ambayo amepata nahodha John Bocco kwenye mchezo dhidi ya Mwadui FC.

Bocco aliyefunga bao la kwanza katika mchezo huo uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2, aliumia kwenye dakika ya 28 na nafasi yake kuchukuliwa na Laudirt Mavugo

“Ameumia kifundo cha mguu wa kushoto anahitaji kufanyiwa uchunguzi zaidi ili kujua atakaa nje ya uwanja kwa muda gani lakini kwa uchunguzi wa awali tuliomfanyia inaonekana ni jeraha la kawaida na hatokuwa nje kwa muda mrefu”
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE →
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE →
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE →
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →