Soloka hatakata rufaa Uchaguzi Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Dec 2020
Soloka hatakata rufaa Uchaguzi Simba

Mohammed Soloka ni mmoja wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa klabu ya Simba ambaye alikuwa akipewa nafasi ya kufanya vizuri kwenye uchaguzi kutokana na umaarufu wake miongoni mwa wanachama wa klabu ya Simba

Hata hivyo hakuweza kuvuka raundi ya kwanza ya mchujo, kwani jina lake limeenguliwa katika hatua hiyo

Soloka amesema pamoja na kuwa hakuridhishwa na kuenguliwa kwa jina lake, lakini hatakata rufaa

"Nimeshitushwa na kuenguliwa katika kinyan'ganyiro cha uchaguzi mapema hata hivyo sifikirii kukata rufaa"

"Wakati huu Simba inahitaji mshikamano kutokana na kushiriki michuano mikubwa ikiwa inaelekea kukutana na FC Platinum. Sipendi niwe sababu ya mgawanyiko wowote ambao unaweza kuathiri umoja wetu kuelekea mchezo huo," alisema

Soloka na Mzee Hassan Dalali aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Simba ndio wagombea pekee walioenguliwa katika hatua za awali

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’