Wanasimba leo wanataka burudani tu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Dec 2020
Wanasimba leo wanataka burudani tu

Kabla ya msimu uliopita, misimu miwili nyuma, Simba haikuipa kipaumbele michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) na ilitolewa katika raundi ya tatu kwa misimu miwili mfululizo

Leo tena Simba iko uwanjani, katika michuano hiyo ambayo msimu uliopita walitwaa ubingwa

Jambo ambalo Wanamsimbazi hawatakuwa tayari kulishuhudia ni iwapo kocha atafanya mabadiliko makubwa ya kikosi ambayo yanaweza kuathiri timu

Huu ni mchezo ambao kocha Sven Vandenbroeck anaweza kuutumia kurejesha imani ya mashabiki waliokata tamaa na mbinu zake

Ukipita kwenye kurasa za mitandao ya kijamii utaona mashabiki wengi wanatamani kuona Sven anaanza na kikosi imara wakitamani kuona anatumia washambuliaji wawili Meddie Kagere na Chris Mugalu au Bocco ambaye hakucheza kule Zimbabwe kutokana na kusumbuliwa na majeraha

Simba haipaswi kuwadharau Majimaji kwa kuwa ni timu inayocheza ligi daraja la kwanza, wengi hawajasahau kilichotokea misimu miwili nyuma

Mchezo huu uwe sehemu ya maandalizi ya kikosi cha Simba kuelekea mechi kubwa ya marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Platinum Fc

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’