Sven katika mtego huu Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Dec 2020
Sven katika mtego huu Simba

Muda mfupi baada ya mchezo dhidi ya Platinum Fc ambao Simba ilipoteza ugenini kwa kufungwa bao 1-0, Kocha Mkuu wa Simba Sven Vandenbroeck alifanya kikao cha dharura na wachezaji wake hotelini akiweka mkakati wa mchezo wa marudiano ambao utapigwa wiki mbili zijazo jijini Dar es salaam

Jana baada ya mchezo kukamilika, Sven alionekana kuchukizwa na matokeo hayo akiweka mkakati wa kupindua meza nyumbani

Mbelgiji huyo anaweza kuwa kwenye wakati mgumu kama atashindwa kuivusha Simba hatua ya makundi

Iko wazi, amekosolewa sana na mbinu zake, kukiweka kibarua chake salama, atahitaji kuwaondosha Platinum Fc

Simba imeweka kipaumbele kucheza makundi michuano ya ligi ya mabingwa lakini hata ikikosa matokeo kwenye mchezo wa marudiano, itakuwa na tiketi nyingine ya kusaka kutinga makundi michuano ya kombe la Shirikisho

Ni wazi Sven anafahamu Simba haitaendelea kumvumilia kama atashindwa kuivusha makundi ligi ya mabingwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’