Nyinyi ni timu bora tupeni furaha - Barbara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Dec 2020
Nyinyi ni timu bora tupeni furaha - Barbara

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez amewahamasisha wachezaji kuhakikisha leo wanawapa furaha Wanamsimbazi kwa kuibuka na ushindi huko nchini Zimbabwe

Saa kumi jioni ya leo, Simba itashuka katika uwanja wa Taifa wa Harare kuikabili Platinum Fc katika mchezo wa ligi ya mabingwa

Barbara amesema ana imani kubwa na wachezaji wa Simba, siku hii ni muhimu kwao kuipa sifa klabu yao pamoja na Taifa lao la Tanzania

"Mashujaa wetu, Simba Sc, tunaamini mtafanya vizuri sababu nia tunayo na uwezo tunao.Nyie ni timu imara, Mwenyezi Mungu atusimamie ile turudi na ushindi nyumbani, Insha’Allah," aliandika Barbara kwenye ukurasa wa mtandao wake wa kijamii

Mashabiki wa Simba kote nchini wanasubiri kwa hamu mtanange huo ambao utapigwa saa tisa kwa saa za Zimbabwe ambako huku Tanzania ni saa kumi jioni

Mchezo utarushwa mbashara na Azam Sport

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’