Simba kwenda Zimbabwe na wachezaji 22

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Dec 2020
Simba kwenda Zimbabwe na wachezaji 22

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kesho Ijumaa saa nne asubuhi wanatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Zimbabwe kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum.

Mchezo huo wa mkondo wa kwanza, utapigwa Disemba 23 huko Zimbabwe

Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema ataondoka nchini na kikosi cha wachezaji 22 ambao watakuwa na jukumu la kuiwakilisha Simba na Tanzania kwa ujumla

"Tutaanza safari siku ya Ijumaa kwa ajili ya kuwafuata wapinzani wetu FC Platinum. Ninaamini tutakwenda kupambana na kufanya vizuri na msafara wetu utakuwa na jumla ya wachezaji 22"

"Hautakuwa mchezo mwepesi lakini tutakwenda kufanyanya vizuri, unajua kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika huku ushindani wake ni wa tofaut"

"Kuhusu wachezaji ambao tutakwenda nao nitaweka wazi baadae kwani bado hatujafanya tathimini hasa baada ya kumaliza mchezo wetu dhidi ya KMC"

Mchezo wa kwanza ugenini unatarajiwa kuchezwa Desemba 23 na ule wa marudio unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Januari 6.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’